RUMA AFRICA INVITE YOU TO WATCH EMMANUEL TV -TB JOSHUA LIVE

Wednesday, July 10, 2013

RUMAFRICA YATENENEZA TANGAZO LA GAZETI LA NYAKATI NA MSEMA KWELI KAAJILI YA KUONYESHA MATUKIO YALIYOTOKEA KATIKA MKUTANO WA KUOMBEA AMANI TANZANIA , KUMILI NA KUTAWALA ULIOFANYIKA WIKI NZIMA YA JANA

Katika mkutano huu RUMAFRICA ilijikita katika kurushwa matukio LIVE katika mitandao kama Faceboo na Blogs. Pia Rumafrica ilihusika na kupiga picha na shooting. Tunamshukuru Mungu kazi ilifanyika salama mpaka tumaliza kongamano hili la kuombea amani Tanzania, kumiliki na kutawala.

Kongamano hili lilikuwa na mitume tisa kama Mtume Dk. Vernon Federnandes wa AGAPE, Nabii Joshua, Mtume Dk. Frank Munene, Mtume Nyarusi, Mtume Tumba, Mtume Peter Nyaga, Mtume Onesmo Ndegi, Mtume Prosper Nteba na Mtume Dk. Livingstone,.

Pia kulikuwa na waimbaji mbalimbali akiwemo, Upendo Nkone, Miriamu Lukindo, Stara Thomas, Prisca, Kenyatta kutoka Kenya, Ndani Safari, Makondeko na wengine wengi.

Mtume Peter Nyaga anakualika katika ibada ya Jumapili RGC Miracle Center Tabata Chang'ombe hapa jijini Dar es Salaam, Tanzania
 Unaweza kutembelea blogu ya kanisa hili iliyotenenezwa na RUMAFRICA
www.urejeshotv.blogspot.com


Kama unahitaji huduma yetu wasiliana nasi kwa simu +255 715 851523

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...