Kipindi hiki nilikuwa nikifanya kazi katika kampuni ya Roos kama PR wa Tigo na Graphic Designer. Roots ilinitumakwenda Sigida kama PR wa TIGO. Tigo ilikuwa inagawa vitabu kwa wanafunzi wa shule ya Msingi
Nikiweka saini yangu katika katibu cha wageni wanaotembelea ofisi hiyo
Nikipigwa maswali na mkuu wa mkoa
Muwakilishi kutoka wizara ya elimu, Dar es Salaam (kulia)
AJALI YA MOTO SINGIDA MJINI
Nikiwa wa wananachi wa Sindiga katika tukio la moto uliounguza baadhi ya maduka
AJALI YA MOTO SINGIDA MJINI
Guest niliyofikia
Kitanda kizuri nilichotumia nikiwa SingidaNikiwa wa wananachi wa Sindiga katika tukio la moto uliounguza baadhi ya maduka
No comments:
Post a Comment