RUMA AFRICA INVITE YOU TO WATCH EMMANUEL TV -TB JOSHUA LIVE

Tuesday, July 17, 2012

MUALIKO KATIKA RADIO USHINDI MBEYA DARAJANI - 28 JUNE 2012

DHUMUNI LA KUWEPO MJENGONI

Mwezi June 2012 ilikuwa ni siku ambayo nilialikwa katika radio ushindi FM iliyoko Mbeya kwa mahojiano na mtangazaji Fredy katika kipindi chake cha Super Mix. Mahojiano yetu yalihusiana na mitandao kama vile blogu na tovuti (website)

Katika kipindi hicho huwa kunakuwa na mpambanisho wa wageni wawili, na mimi nilipambanishwa na Angel Bernard ambaye ni mwimbaji wa nyimbo za injili wa kikundi cha Glorious Celebration. Katika mpambano huo, Angel Bernard alionekana upendwa sana na wasikilizaji wa Ushindi Radio.
Nilichogungua ni kwamba maada yangu ilikuwa ngeni kidogo kwa watu waliowengi. Ndio maana watu wakawa wanamwelewa vizuri Angel kwani yeye alielezea sana kazi ya muziki na biashara zake. Kumbuka Mbeya ni mji ambao unapenda sana suala la uimbaji....Haya ndiyo niliyoyaona kama blogger.

Tunahitaji mablogger kusambaza sana elimu ya blogu kwa wapendwa ili waweze kufaidika katika huduma ya Mungu na katika biashara zao.


Mtangazji wa Radio Ushindi FM, Fredy

Mkurugenzi wa RUMAAFRICA, Rulea Sanga

Fredy akiwa busy kuhakikisha watu wanapiga simu-LIVE

Mchungaji Mathew akimhoji mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka katika kikundi cha Glorious Celebration kuhusiana na uimbaji wake.

Hapa ilikuwa katika mapumziko, ngoma za Mungu zikipigwa


Fredy akipokea simu za wasikilizaji

Kazi inasonga

Mchungaji Mathew Sasali akimpiga swali Angel Bernard kwa njia ya simu. Angel wakati huo alikuwa Dar es Salaam

Fredy akiwa ameweka simu katika kipaza kwa lengo la wasikilizaji kusikia sauti kutoka kwa Angel Benard aliyoko Dar es Salaam

Nikitokelezea

Hekima ilihitajika sana siku hiyo kutokana na maswali kutoka kwa Fredy





No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...