RUMA AFRICA INVITE YOU TO WATCH EMMANUEL TV -TB JOSHUA LIVE

Tuesday, July 17, 2012

TAMASHA LA PASAKA 2012 DAR ES SALAAM

Tamasha lilifanyika katika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na siku ya pili likafanyika Dodoma. Muaandaji ni Msama. Rebeca Malope kutoka Afrika Kusini alihudhuria na kuimba katika Uwanja wa Taifa, na hakuweza kwenda Dodoma.

Rulea Sanga (kushoto) akiwa na Glorious Celebration
Rulea Sanga (katikati) akiwa na waimbaji kutoka katika bendi ya Rebbeca Malope wa Afrika Kusini
Mablogger wa kibongo

Kutoka kulia ni Upendo Kilahiro, Christina Shusho, Rulea Sanga, Upendo Nkone
Kutoka kushoto ni mwimbaji Solomon Mukbwa, Mwigizaji na mwimbaji, Masanja na Rulea Sanga
Kulia ni Mheshimiwa Mwanjelwa (kushoto) na Blogger Rulea Sanga


DODOMA UWANJA WA JAMHURI

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...