RUMA AFRICA INVITE YOU TO WATCH EMMANUEL TV -TB JOSHUA LIVE

Tuesday, August 28, 2012

RULEA KUHUDHURIA ZOEZI LA UGAWAJI WA DVD KWA PARTNERS WA EMMANUEL TV TANZANIA KUTOKA KWA WAINJILISTI KUTOKA SCOAN KWA TB JOSHUA


Mwandishi: Rulea Sanga

Wainjilisti kutoka SCOAN Lagos wamewagawia DVD za "REVIVAL IN THE USA WITH WISE MAN HAARY" kwa Partners wote wa Emmanuel TV Tanzania katika ukumbi wa VIP Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Watu walikusanyika wengi sana kujipatia DVD hiyo ambayo inatoa mahubiri na shuhuda kutoka kwa Wise Man Harry alipokuwa USA.
Partners wa Emmanuel TV walijaza namba zao za uanachama na kuzipeleka kwa hao wainjilisi kutoka SCOAN. Hakukuwa na ugawaji wa Anointing Water,  Stickers za TB Joshua wala maombezi  kama watu wengi walivyokuwa wanadhani.Madhumuni ya Wainjilisti yalikuwa ni kufanya usajili kwa wale wanaohitaji maombezi Lagos na kuongea na Partners wa Emmanuel TV.

Ruma Africa ilibahatika kupata baadhi ya matukio kama unavyoona hapo chini.
Nikiwa nyumbani kwangu baada ya kupata DVD yangu, na hapa najiaanda kuiangalia


Baadhi ya Partners wa Emmanuel TV wakichukua DVD kutoka kwa wainjilisti kutoka SCOAN na baadhi ya wahudumu kutoka Tanzania.

Picha zingine zinakuja

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...