Mungu amekuwa mwema katika kampuni hii. Tunapenda kuwajuza wale wenye
mapenzi mema na RumAfrica kwa kuunga mkono kazi inayofanya. RumaAfrica
imetengeneza Tshirts zingine zinazopatika ofisini kwetu africasana Sinza
RUMAFRICA
Creative Director
Rulea Sanga
+255 715 851523
rumatz2011@yahoo.com
No comments:
Post a Comment