PICHA ZIMEPIGWA NA RUMAFRICA +255 715851523
Mungu
ni mwema na ni Mungu wa vitendo. Baada ya maombezi makali ya kila mtu
kumtafuta yule ampendae, Mungu aliweza kujibu kilio cha Stella Joel na
mpenzi wake Yerimo kwa kufanikisha ndoa yao iliyofungwa katika kanisa la
Pentecostal Holiness Mission Light House Christian Center Ubungo na
tafrija kufanyika katika ukumbi wa Mawasiliano Ubungo jijini Dar esa
Salaam siku ya jumamosi
UNAWEZA KUWASILIANA NA STELLA JOEL KWA SIMU HII +255 756 846166
AU +255715 049143
Stella Joel kutoka Bukoba (Mhaya)
Yerimo kutoka Iringa (Mhehe)
Bloga wenu Rulea Sanga aliyehusika ipasavyo kukuletea habari hizi na kupiga picha
STELLA JOEL AKIELEKEA KANISANI AKITOKEA SALOON
Mwimbaji wa nyimbo za injili Madam Rutiu ndiye aliyekuwa dereva wa Bwana na Bibi Harusi
WAZAZI WAKIMRUSHU BIBIU HARUSI KUPOKELEWA NA BWANA HARUSI KANISANI
Mwimbaji wa nyimbo za injili Tanzania, John Shabani
Mchungaji Mwasota
Mchungaji Mwasota akiangalia pete kwa makini kabla hajawakabidhi Bwana Harusi na Bibi Harusi kuvishana
KIPINDI CHA KUMPONGEZA MAHARUSI BAADA YA KUVISHANA PETE NA KUSAINI
KIPINDI CHA KUFUNGA IBADA-KANISANI
WAKATI WA KUELEKEA UKUMBINI ULIFIKA NA SASA SAFARI IMEANZA
MATUKIO YA UKUMBINI ENDELEA KUTEMBELEA BLOGU HII
MUNGU WANGU NA AKUBARIKI SANA
MUNGU WANGU NA AKUBARIKI SANA
KAMA UNAHITAJI HUDUMA YA PICHA WASILIANA NAMI KWA SIMU +255 715 851523
No comments:
Post a Comment