Huyu ndiye kaka yangu aliyenisomesha kuanzia darasa la kwanza mpaka namaliza chuo cha IFM jijini Dar es Salaam. Ni kaka ambaye amenilea, mbali na kunisomesha.
Kaka yangu alifariki katika hospitali ya Muhimbili baada ya kuhamishwa katika hospitali ya Iringa. Kaka alikuwa anasumbuliwa na figo, pia kuvimba miguu na tumbo. Ameacha watoto watano na mke mmoja.
Kipindi cha uhai wake alikuwa mfanyabiasha maarufu sana Mafinga Iringa akijulika kama "Short"
Mungu Mkumbuke
Mungu akuweke mahali pema peponi..Amina
Kipindi cha uhai wake alikuwa mfanyabiasha maarufu sana Mafinga Iringa akijulika kama "Short"
Mungu Mkumbuke
Mungu akuweke mahali pema peponi..Amina
No comments:
Post a Comment