Namshukuru Mungu kwa kunipa ardhi. Mungu amenisaidia kununu kiwanja chenye ukubwa wa ekari moja. Kiwanja changu kinapakana na Dorina wa Mlima wa Moto Mikocheni B Assemblies of God, erick wa kanisa la KKKT Kimara
Nikiwa na wanakijiji wa Chanika nikiangalia site yangu
My shamba eneo la Mwanzo Mgumu Chanika
No comments:
Post a Comment