RUMA AFRICA INVITE YOU TO WATCH EMMANUEL TV -TB JOSHUA LIVE

Tuesday, July 31, 2012

RULEA SANGA NIKIWA PUGU KIKAZI

Kipindi hiki nakumbuka nilikuwa nafanya kazi katika kampuni ya The Works Masaki kama PR Assistant. Kipindi hiki ilikuwa imebaki kama wiki tatu kuacha kazi na kuwa mjasiliamali.

Namshukuru Mungu alinipa ujasiri katika uamuzi wa kuacha kazi na kuwa mitaani kama mjasiliamali. Mpaka sasa niko Kitaa na ninajishughulisha na masuala ya Graphics na utengenezaji wa websites na blogs.

Kama mdau wangu nakaribisha matangazo katika blogu yangu ya www.rumaafrica.blogspot.com, bei yangu ni nafuu sana. Pia kama ungependa nikutengezee website, blogu au tangazo zuri wasiliana na mimi kwa rumatz2011@yahoo.com au piga +255 715 85 15 23
 Nikiwa maeneo ya Pugu. Nilienda kukagua ukarabati wa darasa, ambalo Tigo walijitolea kulikarabati
 Nikiwa na mkubwa wangu kwa upande wa PR, Nadine Kapya. Mwenzagu bado yupo "The Works"





No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...