Baada ya kufika msiba Mbeya, nilikumbana na Msiba mwingine wa ndugu yangu anaitwa Roda Chaula aliyefariki baada ya kuugua kwa muda mrefu mjini Mbeya. Sikubahatika kuwahi mazishi ya binamu yangu Noel. Picha hizo hapo chini ni mazishi ya ndugu yangu Roda
SAFARI YA KUELEKEA MBEYA ILIANZA
Nikiwa maeneo ya Morogoro kwaajili ya chakula
Nikiwa eneo fulani silijua, ila watu walikuwa wanachimba dawa, (umenielewa nadhani)
NIKIWA MBEYA MWANJELWA
Nikiwa maeneo ya Mbeaya Mwanjelwa, nikielekea makaburini
NIKIWA MBEYA ISANGA
Kaburi likichimbwa
Marehemu Roda Fungo
Kilio na majonzi kilitawala
Mwili wa marehemu ukisubiriwa kutelemshwa maeneo ya makuburi-Isanga
Tukielekea eneo la kaburi
Blogger wenu Rulea Sanga (kulia) nikiusindikiza mwili wa ndugu yangu
Kilio Kilio ndio ulikuwa wimbo wa siku hiyo
Aliyevaa kofia ni binamu yangu, Fred (Full Dozi)
BAADA YA MSIBA KUISHA NILIEKEA NANE NANE MBEYA SIKU YA LEO JUMATATU
No comments:
Post a Comment