RUMA AFRICA INVITE YOU TO WATCH EMMANUEL TV -TB JOSHUA LIVE

Wednesday, February 6, 2013

RUMAFRICA YAMALIZA KUTENGENEZA DVD COVER YA GIDEON MUTALEMWA


Gideon Mutalemwa anatarajia kufanya uzinduzi wa albamu yake ya kwanza inayoenda kwa jina la "Sambamba na Yesu" katika kanisa la Yesu la Huduma ya Maombezi kwa Nabii Flora tarehe 03.03.2013 saa 8:00 mchana na hakutakuwa na kiingilio chochote.

USIKOSE MTU WA MUNGU.

Na wewe kama utapenda kutengenezewa DVD/VCD Cover unaweza kuwasiliana na meneja Masoko wa RumAfrica kwa simu +255 715 851523

Upande wa mbele

Upande wa nyuma


Cover zima likiwa limefunguliwa

sticker

Unaweza kupata habari za mwimbaji huyu kwa kutembelea blogu ya kanisa www.nabiiflora.blogspot.comwww.nabiiflora.blogspot.com. au unaweza kumpigia kwa kutumia namba zilizomo katika DVD cover hapo chini.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...