Marehemu
Jessica siku ya leo tarehe 14.03.2013 ndio ilikuwa siku yake ya mwisho wa mwili wake
kuonekana katika dunia hii. Marehemu Jessica amezikwa katika makaburi ya Rombo
Ubungo jijini Dar es Salaam Tanzania.
Marehemu alizaliwa mwaka 1976 huko Bukoba. Mpaka mauti inamkuta alikuwa akifanya kazi Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.
Jessica alikuwa anasumbuliwa na upungufu wa damu mwili. Kabla Jessica hajapotza maisha yake alienda kwa dada yake Stella Joel kumsalimia. Baada ya muda akajisikia vibaya na kuomba kwenda hospitalini kupima. wakiwa wameongozana wakitembea, Jessica alijisikia kuishiwa nguvu na ikamlazimu kukaa chini. stella Joel ambaye ni dada yake aliamua kutafuta taxi na kumkimbiza hospitalini. Alipofika hospitalini Mwananyamala hapa jijini Dar es Salaam, madaktari walimshughulikia, lakini haikuwezekana. Muda kidogo akawa ni mtu wa kuaga dunia.
Jessica alikuwa anasumbuliwa na upungufu wa damu mwili. Kabla Jessica hajapotza maisha yake alienda kwa dada yake Stella Joel kumsalimia. Baada ya muda akajisikia vibaya na kuomba kwenda hospitalini kupima. wakiwa wameongozana wakitembea, Jessica alijisikia kuishiwa nguvu na ikamlazimu kukaa chini. stella Joel ambaye ni dada yake aliamua kutafuta taxi na kumkimbiza hospitalini. Alipofika hospitalini Mwananyamala hapa jijini Dar es Salaam, madaktari walimshughulikia, lakini haikuwezekana. Muda kidogo akawa ni mtu wa kuaga dunia.
Marehemu alikuwa akiabudu katika kanisa ka Efatha kwa Nabii na Mtume Josephate Mwingra lililoko Mwenge hapa jijini Dar es Salaam Tanzania
Unaweza kuwasiliana na Stella Joel kwa simu+255 756846166
Unaweza kuwasiliana na Stella Joel kwa simu+255 756846166
Marehemu Jessica Joel wakati wa uhai wake
Mama akiimba huku akiwa ameshikilia sahani ya michango
Watu wakipatachakula
Wakati wa kupata chakula ulifika
Kutoka kulia,wa pili ni mtoto wa marehemu na huyo mtoto aliyepakatwa
Baadhi yarafiki najamaawaliofika
Kutoka kushoto ni mchungaji Chriss akifuatiwa na Stella Joel. Mc akiwa anaangalia ratiba ya mazishi
Ulikuwa ni wakati wa huzuni
Watu hawaamini kupotelewa na rafiki yao
Ulikuwa ni wakati mgumu kwa ndugu na jamaa wa Jessica Joel
Kutoka kushoto wa pili ni Stella Joel skiwa amempakata mtoto wa marehemu
Aliyepakatwa ni mtoto wa marehemu
Miwili wa Marehemu Jessica Joel ukisubiriwa kuangwa na jamaa na marafiki nyumbani kwa Stella Joel Ubungo Msewe
Mtoto wa marehemu wa kwanza kutoka kulia na wa tatu kutoka kulia
Mchungaji Pius akisema neno kuhusu kupotelewa na Jessica Joel
Kwaheri Jessica Joel
Mtoto wa marehemu akimwaga mama yake aliyelala katika kitanda cha umeilele
Mtoto wa mwisho marehemu akimwaga mama yake huku akilia kwa uchungu
Wa pili kutoka kulia ni Alfred akimuaga Jessica Joel
Watu wakimuaga Jessica Joel aliyelala katika kitanda chake cha milele
Mkurugenzi wa Rumafrica Rulea Sanga akichukua picha ya marehemu Jessica Joel
Mtoto wa marehemu Jessica Joel akiwa amepumzika katika kitanda chake cha umilele
Kulia ni kaka wa marehemu
Wa pili kutoka kushoto kwa hao waliokaa ni Stella Joel
Kutoka kulia wa kwanza ni muwakilishi kutokakanisa la Efatha ambako marehemu alikuwa akisali
Mchungaji Pius
MAKABURINI
Mchungaji Pius
MAKABURINI
Wawili kutoka kulia ni watoto wa marehem Jessica Honore wakiwa makaburini
Mke wa Mchungaji Pius
Mkurugenzi wa Rumafrica Rulea Sanga alivalia Tshirt ya kijani akimhifadhi dada yetu Jessica Joel
Mmoja wa ndugu wa marehemu akimhifadhi ndugu yake
Kutoka kulia ni Apostle Gideon Mutalemwa akiwa msibani
Muwakilishi kutoka kanisa la Efatha aliyeshika kipaza sauti akihubiri Neno la Mungu kuhusu mwili wa marehemu
Kwaheli Jessica Joel
Mwili wa marehemu ukipelekwa katika nyumba ya milele ya Jessica Joel
Nyumba ya milele ya Jessica Joel ikiwekwa sawa kwaajili ya kumpumzisha baada ya kazi nzito za hapa duniani
Muwakilishi kutoka kanisa la Efatha (aliyevalia shart la blue) aliko kuwa anasali marehemu akizunguza na kuwatia moyo wafiwa makaburini
Waliokaa na waliovalia tshirt nyeupe ni watoto wa marehemu wakiwa makaburini kumuaga mama yao
Stella Joel wa pili kutoka kushoto kwa waliokaa akiwa na baadhi ya marafiki na ndugu makaburini kumzika mdogo wake
Mmoja wa ndugu wa marehemu Alfred akiweka mchanga kaburini
Aliyevalia kofia ni producer wa miziki kutoka INK Production Studio
Blogger Rulea Sanga akiwa ameshikilia kamera nakushoto kwake ni kaka yake na marehemu
Wato wa marehemu wakiweka mashahada
Mtoto wa marehemu Jesssica Joel katikati akiweka taji la kumuaga mama yake
Dada wa marehemu Stella Joel akiweka shahada
Baadhi ya ndugu wakiweka taji
Mchungaji Chriss akiweka taji
Ndugu na marafiki wa marehemu Jessica Joel
No comments:
Post a Comment