RUMA AFRICA INVITE YOU TO WATCH EMMANUEL TV -TB JOSHUA LIVE

Tuesday, March 19, 2013

PICHA ZILIZOPIGWA NA RUMAFRICA ZA KAMPUNI YA JJPRODUCT

JJ PRODUCT anajishughulisha na uuzaji wa bidhaa mbalimbali zenye viwango vya juu. Watu wengi wamenufaika sana na huduma zinazotolewa na JJ Product.

JJ Product imekuwa msaada mkubwa sana kwa wale wenye uwezo wa chini na wale wenye uwezo wa juu kutokana na gharama za bidhaa zao kuwa za bei nafuu. Tunaweza kusema JJ Product ni msaada wa watu wote.

JJ Product inatoa huduma zifuatazo.

1. Wanauza dawa za Usafi Majumbani na vyooni

2. Sabuni za kufulia, kuogea na kusafishia vyombo. Sabuni hizi zinaua vijidudu na kuhakikisha chombo au nguo zako ni safi. Haziumizi mikono yako wakati wa kutumia sabuni zinazouzwa na JJ Product.

3 Wanauza Shampoo zenye manukato mazuri na ni nzuri kutumia kwaajili ya nywele zako na mwili wako kwa ujumla.

3. wanauza viatu vya mtumba ambavyo ni imara kabisa kutoka Ulaya. Vipo viatu vya kike tu kwa sasa

UNAWEZA KUWASILIANA NA JOYCE CHARLES WA RADIO PRAISE POWER 99.3FM KWA
SIMU: +255 717 663005 au +255 715 170756

Wanaweza kukufikishia mzigo hapo ulipo.

Baaddi ya Viatu vya mtumba vya wadada wamama vinavyopatikana JJ Product:.


Viatu vinauzwa na JJ Product kwa bei POA kabikwa mdada wa kisasa na unayependenda kuonekana smart mbele za macho ya watu

 

Kama wewe ni mtu wa ofisini..na ni mtu unayependa kuonekana smart mbele za wafanyakazi wako au wakubwa wako ukiwa umevalia suruali au gauni au nguo yoyote ile huku chini ukiwa umetupia KIATU hicho hapo juu...kwa kweli utawashangaza wengi na utakuwa mfano kwa wale ambao hawapendi kupendeza na kuanza kufuata nyayo zako za kupendeza. Raha jipe mwenyewe hakuna atakayekupa raha.

Kiatu hiki kinaonekana kipya kama vile kinatoka dukani. JJ Product wako makini sana katika kuchagua viatu vya mtumba vyenye ubora na vinavyoenda na wakati


Kama wewe ni mtu wa fashion, utakubaliana utakubaliana na mimi kwa kuvaa kiatu hiki na utaona marafiki na jamaa wakiulizia ni wapi umepata kiatu hicho..? Jaribu sasa


Maisha ni sasa, kupendeza ni sasa, huu ni wakati wa kujipatia viatu kwa bei poa sana kutoka JJ Product walioko jijin Dar es Salaam.

Mwanamke kupendeza...huu ni muda wako wa kupendeza..JJ Product iko kwaajili yako
Kiatu BOMBA

Kiatu hiki kina mvuto wa pekee na hasa ukiangalia rangi yake na textures zilizotumika. Kina mfaa mtu wa rangi yoyote.

Bei ya kiatu hiki ni POA sana..Jipatie na upendeze
Viatu vinauzwa na JJ Product kwa bei POA kabisa kwa mdada wa kisasa na unayependenda kuonemart mbele za macho ya watu




Viatu vinauzwa na JJ Product kwa bei POA kabisa kwa mdada wa kisasa na unayependenda kuonemart mbele za macho ya watu


Unaweza kujiuliza na mwisho wa siku kukata tamaa kwa kufikiri juu ya gharama ya kiatu hiki kama kinavyoonekana. Ndugu yangu kiatu hiki bei yake ni nafuu sana..Piaga simu nasi tutakujuza juu ya bei ya kiatu hiki.



UNAWEZA KUWASILIANA NA JOYCE CHARLES WA RADIO PRAISE POWER 99.3FM KWA
SIMU: +255 717 663005 au +255 715 17075

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...