RUMA AFRICA INVITE YOU TO WATCH EMMANUEL TV -TB JOSHUA LIVE

Monday, November 18, 2013

GWT YATOA SEMINA KWA WAIMBAJI WA KANISA LA NABII FLORA: PICHA ZILIPIGWA NA RUMAFRICA

Glorious Worship Team (GWT) baada ya kufanya tamsha lao siku ya Jumapili katika kanisa la CCC Upanga waliweza kutumia tena muda wao kufanya kazi ya Mungu katika kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya Maombezi na Uponyaji Mbezi Salasala hapa jijini Dar es salaam.

GWT waliweza kukaa na waimbaji wa kanisa hilo na kutoa semina fupi juu ya uimbaji ulio bora na wenye kumpendeza Mungu. Waliweza kuwasikiliza waimbaji hao na kuona udhaifu wao hasa katika suala la sauti, uchezaji na jinsi ya kutumia vipaza sauti. Ni mengi walisweza kuzunguza na kuwatia moyo kusonga mbele kufanya kazi ya Mungu.

Emmanuel Mabisa

Baada ya semina kumalizika Glorious waliwea kuimba pamoja baadhi ya nyimbo zao kama NIGUSE na UMENIFANYA IBADA.

Mungu azidi kuwalinda Glorious Worship Team

Picha zimepigwa na Rumafrica +255 715851523

 Waimbaji wa Kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya Maombezi na Uponyaji wakiwasalimia baadhi ya waimbaji wa GWT
 Waimbaji wa GWT wakiwaangalia waimbaji wa Kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya Maombezi na Uponyaji
 Waimbaji wa Kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya Maombezi na Uponyaji
 Kulia ni mkurugenzi wa Rumafrica, Rulea Sanga akiwa na waimbaji wa GWT wakisikilza waimbaji wa Kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya Maombezi na Uponyaji




BAADA YA ZOEZI LA KUWASIKILIZA WAIMBAJI WA KANISA HILI LA NABII FLORA, GWT ILITOA MAONI YAO

Davina akielezea kile alichokiona kwa waimbaji hao


 Waimbaji wa Kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya Maombezi na Uponyaji wakiwasikiliza waimbaji wa GWT
 Waimbaji wa Kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya Maombezi na Uponyaji
 Paul Clement akiwaeleza waimbaji Kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya Maombezi na Uponyaji siri ya mafanikio katika uimbaji

ULIFIKA WAKATI WA GLORIOUS WORSHIP TEAM KUIMBA PAMOJA NA WAIMBAJI WA KANISA HILI LA NABII FLORA PETER
 Waimbaji Kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya Maombezi na Uponyajiwakiimba pamoja na GWT. Kushoto ni mwimbaji wa GWT, Davina na kulia ni mwimbaji wa GWT, Nice
Waimbaji Kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya Maombezi na Uponyaji wakiimba na GWT

kushoto ni Davia wa GWT akiwa na waimbaji wa kanisa hilo


ULIFIKA WAKATI WA GLORIOUS WORSHIP TEAM KUIMBA
 Paul Clement

 Emmanuel Mabisa

 Kulia ni Davina na Nice



 PICHA YA PAMOJA ILIPIGWA NA RUMAFRICA



No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...