Ninamshukuru sana Mungu kwa kunipata kibali kufanya kazi ya na msanii wa
filamu Tanzania Jennifer Kyaka (ODAMA) siku ya jana mdogo wake aliweza
kufanyiwa send off katika ukumbi wa Mawela Sinza, na mimi nilikuwa
mhusika mkubwa katika zoezi la stilll picture.
Ninamshukuru sana Mungu wangu kwani kuna wengi wanatamani kuwa kama mimi lakini Mungu hajawapa kibali hicho. Nitazidi kumshukuru Mungu kwa vile anafanya katika maisha yangu.
Ninachotaka kukutia moyo mtu wa Mungu ni kwamba, hicho Mungu amekupa hata kikiwa kidogo wewe kifanyie kazi kwa asilimia zote na bila kuwa na woga. Kuna watu wengine wanatamani kuwa kama wewe lakini wanashindwa na wanashangaa wanapoona wewe karama uliyopewa huifanyii kazi kwa asilimia zote.
Ninakuambia kuanzia sasa amua kuinua karama yako bila ya kuangalia watu watasemaje au wanasemaje..na utaona Mungu anavyofanya mambo katika kazi yako. Acha kukata tamaa na kujiona huwezi. Rafiki yangu huu ni wakati wa kukaza buti na kuvaa magwanda ya kijeshi kwa kuchapa kazi.
Unatakiwa kuheshimu sana yule mtu anayekupa mchongo wa kazi au mtu yeyote anayefika katika ofisi yako, kwani kuna ofisi nyingi na watu hawaingii katika ofisi hizo lakini wewe Munguamekupa neema ya kupata wateja. Acha dharau na majingambo bali mheshimu mteja wako hata kama amefika katika ofisi yako bila ya kukuungisha.
Anita Mshashu
Aniata akiwa katika soloon ya Maznat Mikocheni. Kulia ni boss wa Maznat (Mazna)
Anita katika pozi ndani ya Maznat

Kutoka kulia ni Odama, Rhoda, Ashura wa Bongo Movie
Poa mimi niishie hapo na ninakutakia utendaji kazi mwema
Wasanii wa Bongo Movie
Kulia ni rafiki yangu
Anita na wazazi wake wakimkabidhi zawadi ya Biblia
KAMA UNAHITAJIHUDUMAYA PICHA WASILINA NASI KWA SIMU +255 715851523

Ukitaka kuona picha zingine
Tembelea
www.odama1.blogspot.com
Tembelea
No comments:
Post a Comment